Hii si dalili nzuri kwa Ilhan Omar.

Shida ya huyu mama alianza kubwabwaja huku tonge likiwa bado mdomoni. Sasa inabidi aliteme. Atarudi somalia hadi trump atoke madarakani.
 
Inakuaje huyo mdada kuolewa na kaka yake iwe ishu alafu midume miwili au mijike miwili kuoana iwe kawaida???
 
Hatoboi.... Mtu akishaanza as far as I remember and as per my recollection ujue kuna kitu hataki kukumbuka
Kabisa!

Mtu anaulizwa kuwa je, mtu aliyeoana naye ni kaka yake? Yeye anajibu ‘not to my knowledge’ 🤣🤣.

Mtu kama si kaka yako unashindwa nini kusema “no”?
 
Dada yako kwa baba mkubwa au baba mdogo hao mbona halali kuoa kwa mujibu wa uislamu.
Mtu ambae huruhusiwi kumuoa
Dada yako tumbo moja
Dada yako wa kunyonya
Dada yako kwa baba mkubwa au baba mdogo
Dada wa mama yako
Shangaz yako
Mama yako wa kambo
Kuoa ndugu wawili kwa wakati mmoja
Mtoto wa dada yako/kaka yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…