Hii shipping fee vipi mbona sijaielewa?

Missandei

Member
Apr 21, 2023
58
87
Naombeni muongozo wakuu kuna bidhaa nimeipenda alibaba nikataka kukiorder bei yake ni 0.78 usd lkn ukija kwenye shipping fee ni 65.90 usd hadi nikachoka kabisa.

Nauliza hivi kuna namna naeza kuviorder bila kulipa hiyo shipping fee maana sina uwezo huo ukizingatia nahitaji pisi 20 tu.
 
naombeni muongozo wakuu kuna bidhaa nimeipenda alibaba nikataka kukiorder bei yake ni 0.78 usd lkn ukija kwenye shipping fee ni 65.90 usd hadi nikachoka kabisa. Nauliza hivi kuna namna naeza kuviorder bila kulipa hiyo shipping fee maana sina uwezo huo ukizingatia nahitaji pisi 20 tu.
Achana na shipping fee ya alibaba tumia agent akusafirishie mzigo wako toka china to tanzania kama utatumia meli mzigo utapimwa kwa CBM na kama ndege mzigo utapimwa kwa kilogram
 
Search free shiping items
 
Achana na shipping fee ya alibaba tumia agent akusafirishie mzigo wako toka china to tanzania kama utatumia meli mzigo utapimwa kwa CBM na kama ndege mzigo utapimwa kwa kilogram
siyo kwamba kutumia hao agent mzigo unatakiwa uwe mkubwa??
 
Maana yake ukinunua vingi shipping fee inabak palepale...lesson nunua mzigo mkubwa kupunguza gharama ya usafiri bcz pc 1= dola68 pic oic 1000= dola68
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom