Hii sheria ni sahihi kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii sheria ni sahihi kweli?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kaitaba, Nov 3, 2009.

 1. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2009
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Rafiki yangu akiwa kazini, huku nyumbani mijamaa ikaingia kwake na kuiba TV yake,

  Kufanya utafiti mwizi kakamatwa, kesi ikaunguluma, na hukumu ikatoka kuwa mwizi afungwe miaka 3 na akitoka anunue TV amlipe mdai,

  Je, ni sahihi mpaka atoke ndo amlipe, ni kwanini asiuze mali zake akanunua kabla ya kifungo

  Akitoka atakuwa ana shughuli gani ya kumuwezesha kununua hiyo TV?, na mdai aendelee kusubili mpaka miaka 3 iishe kweli au afanyeje?

  Sheria hii iko sawa?
   
 2. M

  MKWELIMAN Senior Member

  #2
  Nov 3, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 125
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  hii ni sheria ya ufisadi !!!!
   
 3. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2009
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Sasa huyu jamaa unamshauri nini?
   
 4. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #4
  Nov 3, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Kaitaba kiswahili chako ulijifunzia wapi? Kusubili au kusubiri? Ikaunguluma au ikanguruma?
   
 5. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #5
  Nov 3, 2009
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  akanunue tv nyingine akilipwa hiyo atafanya ya watoto
   
 6. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #6
  Nov 3, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,006
  Trophy Points: 280
  kama hana watoto je?
   
Loading...