Mimi nimekuwa nikifuatilia teuzi nyingi za RAIS wetu, wengi ni ama Ma Profesa au Ma Dokta!!!. Wenye CV ya ndugu ni wachache sana hasa nafasi nyeti za NCHI.
Tukianzia baraza la mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakurugenzi WA mashirika ya umma, Wenyeviti wa bodi za mashirika!!!.
Tunao waona ni wale alio waacha waliteuliwa na JK!!! Akiteua Yeye anaweka ama Prof au Dr!!! Tizama NSSF mwenyekiti WA bodi ni Prof,
Wasomi wetu kuwatumia hatukatai ila achanganye, HATA kwenye Research Stratified sampling inasisitizwa sana itumike ili kupata mawazo tofauti tofauti. Mh. anaamini Prof, Dr yuko sahihi kwa Kila jambo alitendalo, Kumbe Kuna ma Prof hata familia zinawashinda kuendesha!!! Je ukimpa wizara ataiweza?!!!
Pia Suala la dini, uwiano kati ya waislamu na wakristo hauko sawa!!! Mimi mkristo naitwa Thomas, sijaridhishwa na teuzi za Mh. katika misingi ya Ku balance dini.
Jinsia pia, Mh. emeegemea sana me kuliko ke, Japo dini na jinsia sio chanzo cha ufanisi WA KAZI ila kisipo zingatiwa huibua manung'uniko upande unao onewa yaani gender grievances .
Haya ninayoongea ni mawazo yangu na ka ELIMU uchwara ka HAPA na pale, nisije zolewa na cyber crime Act kwa uchochezi, nisamehewe kwa ELIMU yangu ndogo. Unajua ukiwa na ELIMU ndogo huna tofauti na mtoto mdogo katika kuheshimika katika jamii na heshima ki ujumla.