Hii sawa jamani?

Mwambie tu uyo rfk aache iyo tabia. Usife kijerumani na tai shingon bure....
 
Ndugu mbona maneno magumu sana haya mwenzio akijiua je

Ni lazima tumwambie ukweli ajue kuwa he has to be man enough..!
We mpenzi wako ananunuliwa hadi chupi hushutki...aaah!
 
Ha ha ha si shemeji jamani

we shemeji yako akinunua chupi na sidiria na kukupa kama zawadi unapokea?
Siku akikuambia shem 'em vaa ile zawadi nione unavyopendeza, utafanyaje? teh!
 
we shemeji yako akinunua chupi na sidiria na kukupa kama zawadi unapokea?
Siku akikuambia shem 'em vaa ile zawadi nione unavyopendeza, utafanyaje? teh!

Ha ha ha kwa kwel sijui iyakuwaje coz sina shemej
 
mchana kweupeee waibiwa.. ana gegedwa tayari sema tu she is covering up kukwambia anapewa zawadi. angekuwa hataki angemkanya.
 
Kamata mwizi huyoooooooooooooooooooo
 
Huyo mchumbaako na rafiki yako wana agenda ya siri!kwanza huyo mwanamke wako ana tamaa kupokea vitu vya bure na anajua fika kuwa huko ni kuhongwa au anamegwa mchana mweupe na rafikio na we ----- ukipakwa mafuta kwa mgongo wa chupa!zinduka!!!

Swadaktaaaa shoga angu....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…