Nguo za ndani?Na wewe unaamini ni marafiki?Angalia wasije wakawa wanakuchezea mchezo
alafu na wewe unavua hyohyo bby kakyupi haka kazur mfyuuuuuuu kanunua rafikiyo kama hujui alafu wewe wataka kuivua hata mke,Wa. obama akipata chance ya lijamaa kumpa vizawad mara 2au mara3lazma liloweke dushelele ndan ya papuchi
Rafiki wa kweli huyo, na anamapenzi haswa kwako mpaka kwa shemejie. Wapo watu wa namna hii anaangalia mapungufu yako na anakusaidia kwa mlango wa uwani.
Ni wema hasa kwa kila kitu, ila kuwa makini kikulacho ki..., mahusiano ya siri nyuma yako ni ishara ya nia ovu. Study zinazo husu cheaters huonyesha marafiki wa karibu ndio wasaliti wetu wakuu.
Anakwambia ili siku kikinuka yeye abaki kwenye safe zone.
Atasema 'Mimi wala sina makosa, si nilikuweka wazi vitu alivyokuwa anileta!? Yeye ndo kavuka mipaka.'
' umeshikwa akili'...hujielewi kabisa
whatch out!!!!!
Nina rafiki yangu ambaye tumeshibana sana. Lakini anapenda sana kumletea zawadi kwa siri mchumba wangu na baada ya hapo mchumba wangu ananishirikisha, na ananihakikishia kwamba hajawahi ombwa papuchi na hata akiomba hatamkubalia. Pia mchumba wangu ananisihi sana nisije kumuuliza rafiki yangu juu ya hizo zawadi ili yeye asiwe chanzo cha kutugombanisha.
BAADHI YA ZAWADI ALIZOWAHI KUMLETE.
viatu, chen, walet, vocha za mara kwa mara, nguo za nje na ndani, na simu aina ya huawei y330.
Sasa najiuliza kuna usalama kweli hapo? Kwanini rafiki yangu ampe mchumba wangu zawadi tena kwa siri? Na kwanini mchumba wangu ananishirikisha?

kuna msemo mmoja wa kikwetu unasema hivi..'' omonto ono utasaighile, hano okughenderi kunalana nawe, ulawesa kom saigha..''
Yaani ,,, mtu usiyempenda, kadiri unavyozidi kuwa na mazoea nae, anaweza kuwa mpenzi wako/unaweza kuja kumpenda!
Naona kila dalili hapa KAN..
mpenzi unataka nisemeje?
Nakushukuru...
' umeshikwa akili'...hujielewi kabisa