Hii sawa jamani?

Hii sawa jamani?

Idhae

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
609
Reaction score
277
Nina rafiki yangu ambaye tumeshibana sana. Lakini anapenda sana kumletea zawadi kwa siri mchumba wangu na baada ya hapo mchumba wangu ananishirikisha, na ananihakikishia kwamba hajawahi ombwa papuchi na hata akiomba hatamkubalia.

Pia mchumba wangu ananisihi sana nisije kumuuliza rafiki yangu juu ya hizo zawadi ili yeye asiwe chanzo cha kutugombanisha.

BAADHI YA ZAWADI ALIZOWAHI KUMLETE.
Viatu, cheni, wallet, vocha za mara kwa mara, nguo za nje na ndani, na simu aina ya huawei y330.

Sasa najiuliza kuna usalama kweli hapo? Kwanini rafiki yangu ampe mchumba wangu zawadi tena kwa siri?

Na kwanini mchumba wangu ananishirikisha?
 
Huyo mchumbaako na rafiki yako wana agenda ya siri!kwanza huyo mwanamke wako ana tamaa kupokea vitu vya bure na anajua fika kuwa huko ni kuhongwa au anamegwa mchana mweupe na rafikio na we ----- ukipakwa mafuta kwa mgongo wa chupa!zinduka!!!
 
Anakwambia kama kujihami tu. Hataki umwambie ili usiharibu relation ship walio jiwekea

Hiyo ni shemeji with benefit sas
 
Mhhhhh! Piga chini huyo jamaa yako anakukazia, muda si mrefu utabambikiziwa MIMBA!
 
Daah mkuu unaroho ngumu,unatekwa we unadai unashirikishwa? jamaa ako anaanzaje kumpa nguo za ndani eti zawadi?!!!! Aaaah take action bhana kama mwanaume
 
demu wako anamegwa kwa uhakika zaidi waache wamegane

huu ni ushauri wa bure
 
wavulana wanamatatizo sana, Naamini ukiwa mwanaume utajuta ulivyokuwa unachezewa....
 
Nguo za ndani?Na wewe unaamini ni marafiki?Angalia wasije wakawa wanakuchezea mchezo

Hajui kusoma hata knyago hakielewi jamaniiii. ...hv sku hz bado watu mmnaendekeza kufa na tai shingon???? Ulza bweg weweeeee, kaaa kimya utaona manyoa sku yake ndo utajua kama kashaliwa
 
Hajui kusoma hata knyago hakielewi jamaniiii. ...hv sku hz bado watu mmnaendekeza kufa na tai shingon???? Ulza bweg weweeeee, kaaa kimya utaona manyoa sku yake ndo utajua kama kashaliwa

Yani huyu sidhani kama anajielewa.By the way nimekumiss sana my dia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom