Hii sasa sifa

Hii sasa sifa

Aaaaaaah!!!!!!....Mamaaaah!!!!!....Kwa hiyo uyo nae ana Mtindio wa Ubongo!!
 
kyalankota umepita mtaa huu
Aisee nashukuru sana kwa kunileta mtaa huu kwenye mambo yangu! Wewe ni rafiki tena ndugu yangu wa karibu sana kwa kuwa unajua haya makitu ndo ugonjwa wangu na huachi yakanipita hivi hivi! Nakushukuru sana mkuu!

Nilikuwa busy mtaa wa siasa kule!
 
Last edited by a moderator:
uumbaji wa Mungu huo...halafu huyu atakuwa aliumbwa siku ya mwisho..udongo ulibaki mwingi ikabidi ukandikwe tu huko nyuma mana kulikuwa hakuna namna
yani Mungu wengine katuumba haraka haraka ajaweka udongo mwingi
 
naskia anakataliwa kupanda daladala mpaka alipe kabisa nauli ya watu watatu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom