Hii sasa sifa

AN !! ndugu chunguza poti inaleta alergyi na mwasho vichanga wana sensitive soft skin!!
hebu tuwe wakweli sikuhizi wake wengi wapo online na macho kiganjani bize 24/7 !!
Dah, sasa tuwapangeje kwa sie tunaokaa maghorofani? Mi nna wana wanne saivi, hiyo ndo style. Nashkuru sijawahi ona hilo tatizo.
Kuna jiff, kuna detol. Poti hata kuwekea wali unaweza. [emoji12] . just kiding[emoji23]
 
Yaelekea mkuu huwa unawafinya mabek3 wako ndiyo maana shem anatafuta wale walio futwa kodi.
Hhaahahahahahahaahaa sijawahi kabisa kabisa Mpwa, ila hata kama ni wewe halafu ukawa na Beki tatu wa dizaini hiyo hahahaha si lazima utajenga urafiki na shetani ili baadae uje kumsimgizia? Nilipitiwa na shetani hahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…