Hii sasa sifa

Hapo ndipo simu za kidijitali zilipotufikisha
 
Hii ni udhalilishaji na utesaji wa watoto.
 
Mnanishangaza nyie waMama vijana..vipi amempanga (stool) na chupa ya maziwa hapohapo yaani usafi na utunzaji gani huo?!!?
Blaki Womani kweli haki hiyo..... mtatuulia wanawetu !!!
Wamama wepi sasa jamani? Mie najua poti tu. [emoji23] .
Huyo nae itakuwa mchafu tu mwenyewe. Hio simu kisingizio tu. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wamama wepi sasa jamani? Mie najua poti tu. [emoji23] .
Huyo nae itakuwa mchafu tu mwenyewe. Hio simu kisingizio tu. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
AN !! ndugu chunguza poti inaleta alergyi na mwasho vichanga wana sensitive soft skin!!
hebu tuwe wakweli sikuhizi wake wengi wapo online na macho kiganjani bize 24/7 !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…