Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,026
Hivi jamani😳mtu amekupigia cmu unamwambia nipo hosp yf amelazwa na mtoto anaumwa pia,anakwambia pole then anakata simu!kisha baada ya muda mfupi anakusms eti"nakumbushia ule mchango wa harusi" mtu kama huyu unamchukuliaje na unamjibu nini jamani😳