Hii Sapraizi imekaaje?

Angalia uwezo alionao mkeo wa kiuchumi anaweza jenga hiyo nyumba? pamoja na washirika wake km ndugu wanaomsaidia kiuchumi.

kubaliana na hiyo Sapraiz ila hakikisha unaunda kamati ya Siri ya uchunguzi wa hiyo nyumba ikiwemo kuttrack Mobile phone.

Usipanic jipe muda wa kufurahia Suprise ya Mkeo wazi wazi Kabisa na aone kuwa umekubaliana na Hiyo hali.

Maana Wanawake wanasiri nyingi sana yawezekana ikawa kweli kufanya yeye kwa lengo Jema.

MWANAMKE WA KUAMINIKA NI MAMA MZAZI tu hawa wengine wote Tunaishi nao tu.
 
Kwangu mimi hapana bhana..sapraizi ya nyumba? Sina hakika sana,lkn kuna posibiliti ya kujengewa na mwenzio.japo sitaki uamini sana ilo.ila sapraizi kwenye mambo ya aina hii yanatia shaka.kisha mwanamke akijenga nyumba na ukaenda kuishi pale,kuna uwezekano usiwe huru.mwanaume kuwa na kitu na akaona sawa cha familia yote,lkn si kwa wanawake,ni dhaifu sn wakiwa na kitu kuzidi mwanaume,na pengne siku mkigombana ataisemea ilo..
 
Nikisema ninachowaza nitakuumiza.....
Mpendwa kwa hiyo alikufungua kitambaa akakuambia "baby mshangaaaaaaao"
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125]
 


Nampa hongera mkeo kwa ujenzi huo...maana na mimi najenga kwa sasa sitamwonyesha hiyo nyumba mwanaume wang kabla hajanioa ..na ninaijenga kwa pesa zangu kihalali bila kusaidiwa na mtu yoyote .....hiyo ndio itakuwa suprize yake kwangu...biashara yangu nitamwonesha ila kama yeye akiwa muwazi kwangu na akiwa hana ubinafsi
 
Chukulia kama suprize mkuu...wife wako upstairs yuko vizuri....maisha yenyewe mafupi...be happy.
Ila nachokushauri gangamala mkuu na we ujenge yako, hiyo pangisheni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…