Hii Sapraizi imekaaje?

Kaa jamaa wakusaidie kutunza familia mkuu! Na ndiyo huache fyokofyoko sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Umenena vyema sana mkuu.
 
Una bahati sana,umepata mke mwenye mawazo chanya.subiri masapraiz mengine ya kutosha.Maisha daima yako fair kwa sababu hayapo ili kuwa fair pia.
 
Nimecheka sana, au unaonyeshwa mtoto sura yako kukataa unashindwa.
Sky acha tu.. mwandiko wa daby sura ya daby kicheko cha daby utaanzia wapi kukataa hiyo sapuraizi
 
Surprise kama hizi kwa kipindi hichi unaweza poteza mwenza kwa BP [emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…