Hii Rhumba ya Kings music ni Habari Nyingine.

Jimmy De Lite

JF-Expert Member
Jun 10, 2019
635
2,305
Hawa vijana wa kings music ya King kiba wametoa ngoma Kali inaitwa Rhumba,Vijana wana uwezo mkubwa sana ila naona wamekosa promo kutoka kwa boss wao.
Alikiba jaribu kufanya mziki kisasa uwa-brand Hao vijana,wana onekana wana uwezo mkubwa na wanaweza fika mbali sana.
 
hii hutokea pale iapokuwa kwenu kunanjaa msosi mzuri unapkwa kwa jirani ila hamuelewani na jilan n lazma tu usifie chakula chenu hata kama kibaya
 
Back
Top Bottom