Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
Vina ladha gani?Wenzako wanakula iyo akishatoa puani.
hapana huyu ni msanii chipukizi wa fm akademia anaitwa sukari...Ndo diamond huyu?
ha ha ha anaitwa D O M O bana lolhapana huyu ni msanii chipukizi wa fm akademia anaitwa sukari...
hivi eeh nimeangalia kwa makini ni mengundua hivyo,unajua tena makengeza ya pasaka hayaha ha ha anaitwa D O M O bana lol
View attachment 152866
Very bad habit haswa kwa superstar alozungukwa na mapaprazi,maana unasubiriwa tu ufanye kosa wakauze gazeti.Tumia tissue/handkerchief kama unataka kusafisha pua!
Bila ya shaka ni urembo tu!Hivi kasilimu lini?hiyo kama rozali au macho yangu yanamatege?.
Wee KakaJambazi,msemo wako huo umeshaniletea kichefuchefu kikali.Wenzako wanakula iyo akishatoa puani.
Vina ladha gani?