Hi wana JF,
Hii plate number ipo pale kwenye geti la DUCE karibu na NBC, Uwanja wa taifa, wilaya ya temeke, mkoa wa Dar es salaam.
Niliiona asubuhi nilipopita maeneo hayo ( T303 BMH)

Inasomeka kama inavyoonekana.

Eneo la geti la DUCE (Dar es Salaam University College of Education), plate namba kwa mbali inaonekana.