Gurudum, kama unaijua photoshop, pale hakuna kazi yoyote ya photo shop, pichas imepigwa na amacha, aliyecrop amecrop vibaya. Thats all.
Ukumbuke picha hizo, wabunge hupiga wenyewe na kuzipeleka ofisi ya bunge. Maadam sasa ni spika, naamini soon atapiga profile nyingine kuendana na hadhi yake ya sasa.