hii picha ya MBOWE INAASHIRIA NN? HAHAHA (ITAFSIRI)

hii picha ya MBOWE INAASHIRIA NN? HAHAHA (ITAFSIRI)

Status
Not open for further replies.

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
1452339_558673044208406_2063836110_n.jpg
 
MH anapenda kukalia kiti ATAKI KUACHIA INGAWA HATUMTAKI
 
Ww huna macho. Hayo ni maswal ya kwnye facebk siyo huku kwa great thinkerssss.
 
mojawapo ya mbinu za maccm za kudhoofisha matarajio ya wanyonge

acha kukariri mkuu, mie pia mwanaCDM ila ningependa kuona mabadiliko ktk nafasi ya mbowe....tuhuma za mbowe ni nyingi na nzito (soma waraka wa chacha wangwe kisha malizia bila jazba huu wa dr kitila) - wengine hatuna ushabiki bali tunataka kuona mwingine ndani ya chama akishika nafasi hiyo. by the way wote hapa tumekuwa tukimsema lipumba kwa usultani, kwa mbowe je?!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom