Basi wengi walikua punguaniMtu yoyote mwenye akili timamu lazima aguswe na kifo cha shujaa Magufuli.
Vichaa lazima wampende kichaa mwenzaoMtu yoyote mwenye akili timamu lazima aguswe na kifo cha shujaa Magufuli.
moyo umebeba mengi pengine na yeye ni mfiwa mjane wa dakika za mwisho 😃Moyo wa mtu kichaka
Tupe uzoefu wako mgeuze tuthibitishe sio yeye 😃Huyu sio Halima Mdee. Acheni kudemka watu wapo kazini kuwachezesha ngoma.
Mr. Halima Mdee amejua kunifundisha kumchukiaHalima alikuwa na 'personal friendship'na Hayati? Naona kama alikuwa ameguswa Sana
Hakuonesha chuki yeyote kulinganisha na 'wapinzani ' wengine..hata kama aliwahi kaa rumande Kwa kesi zisizo kuwa na kichwa wala miguu..
Hii picha unaitafsiri vipi?View attachment 1760960
Nichumu basiMimi pia ninaweza kumbusu mtu anaeniwezesha kulipa madeni ya mikopo yangu.
Kama hali hiyo ilikuwepo, basi ni baada ya kuuza kiti cha ubunge kwa Jima, siyo kabla.Halima alikuwa na 'personal friendship'na Hayati? Naona kama alikuwa ameguswa Sana