Ukubwa wa daraja hili katika ukanda huu wa EA, una_reflect ukubwa wa jina la Mwl. Julius Kambarage Nyerere.Wengi ambao wako mbali na Dar yetu wanafikiri ni daraja tu la kuvuka mkondo wa bahari kumbe pia kuna intechange ya nguvu imejengwa, kama picha inavyoonyesha!
wapande miti , nyasi na maua.. hapapendeWengi ambao wako mbali na Dar yetu wanafikiri ni daraja tu la kuvuka mkondo wa bahari kumbe pia kuna intechange ya nguvu imejengwa, kama picha inavyoonyesha!
Tukimaliza kulilipia kweli inabidi tujivunie!!Ukubwa wa daraja hili katika ukanda huu wa EA, una_reflect ukubwa wa jina la Mwl. Julius Kambarage Nyerere.
Watanzania wote tunapaswa kujivunia mambo yetu.
Bravo JPM.