Hii Picha unaitafsiri vipi?

wamidosho

JF-Expert Member
Feb 16, 2015
456
423
Je, ni yale yale ya Ndugu yetu Jokajeusi na Wanawake Bikra au kuna lingine hapa?

Screenshot_20210417-152946~2.png
 
hili ni festival la ukaguz wa bikra kwa ajiri ya kumpata mke wa mfalme. wakat mwingine ni tu internal audit. kwetu hatuamin katika bikra wala kitu chochote fresh/organic. ndo mana hata ukiomba kazi unaulizwa uzoefu wako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom