hii picha inatufundisha nini

hii picha inatufundisha nini

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Posts
43,242
Reaction score
90,420
wakuu hii picha inakufundisha nini
 

Attachments

  • mama na mtoto.jpg
    mama na mtoto.jpg
    75.3 KB · Views: 1,577
Hii picha binfsi inanifundisha kwamba mtoto ni vizuri kumlaza kivulini kwani juani anaweza kupata madhara ya ngozi ukiachilia mbali kwamba hatapata usingizi

Na wakija Mgambo wakiwatimua wafanyabiashara wadogo..watajua kuwa kuna kiumbe huko chini?
 
mama wa huyu mtoto amekosea sana hapo alipomlaza mtoto, hizo mbao zikishuka biashara kwisha!!! ooh god tunusuru na balaa hili!!!
 
Inamaanisha maisha bora kwa kila mtanzania hayawezekani
 
wezi wa nchi wanatembelea vx v8 waliowachagua wanahangaika bila hata maternity leave
 
sijui kwa nini nimeumwa tu na hii picha...asante Mungu jamani!
 
hii picha imeniumiza sana tena sana, maisha ni magumu sana kwa watanzania wengi, na huu ni mfano halisi. huyu mama akikaa nyumbani kulea mtoto inakula kwake, kwa hiyo inabidi mtoto akomae na mama yake kwenye biashara. ni hali ya huzuni sana, achilia mbali akina mama wanaolima na watoto wachanga wakisaidiwa kubembelezwa na nyoka. ama kweli bado tuna safari ndefu huu ulimwengu wa tatu!
 
wakuu hii picha inakufundisha nini
Kuna ROHO inayoichunga hiyo roho iliyolala hapo chini, pamoja na vumbi na kelele za sokoni, mtoto amerest peacefully na mama hayuko stressed out.

In short..... An African woman is the closest person to God.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom