CCM wameachiwa sana kusema sasa wanaanza kusema uozo na pumba
Sasa hivi musiba anaogopwa sana CCM kuliko bashiru katibu mkuu wa CCM, leo bashiru katukana sana wazee wake wastaafu na CCM wenzake lakini musiba hajajaribu hata kumtaja
Huu si wakati wa kampeni lakini unaruhusiwa kutumia santuri yako mwenyewe ukiwa umelalaSasa hivi musiba anaogopwa sana CCM kuliko bashiru katibu mkuu wa CCM, leo bashiru katukana sana wazee wake wastaafu na CCM wenzake lakini musiba hajajaribu hata kumtaja