Hii picha inaongea mno. Hatuhitaji kuambiwa kabisa

Hii picha inaongea mno. Hatuhitaji kuambiwa kabisa

Hivi Kamanda Lema si alisota rumande miezi 4 kwa kumtabiria kifo Bwana yule?

Hivi kwa nini Jeshi la Polisi halimdaki mtu huyu kwa kuwatabiria vifo Maalim na EL?

Kama mtu huyu hatadakwa basi tutajua kuwa kumbe Jeshi letu la Polisi linafanya kazi kwa DOUBLE STANDARD ya hali ya juu!
Nipo hapa Ng'washilalage Kwimba waambie waje wanikamate!
 
Maisha ni zawadi. Aliyetupatia na ndiye anayeyaondoa, tena kwa wakati wake, kwa aliowateua. Umri au ugonjwa siyo alama ya kifo kama ilivyo utoto, ujana na afya njema visivyo uhakika wa kuishi.

Jana tumewapoteza watoto wetu wa shule, vijana wadogo, waliokuwa wazima na afya njema, huku wazee wengi, wagonjwa na wagojwa mahtuti wakiendelea kuishi.

Tusipende kuongelea juu ya watu wengine mambo tusiyo na mamlaka nayo, kama vile uhai na kifo. Wewe au mimi tunaweza kutangulia tukawaacha hao unaowasema kuwa muda mfupi hawatakuwepo. Wanaweza, ni kweli, wasiwepo, lakini wewe una uhakika gani wa kuwepo?

Lowasa na Maalim si wao pekee yao, nyuma yao kuna mamilioni ya Watanzania, na hata wasio Watanzania. Kuwatusi wazee hao ni kuwatusi wote wanaowaunga mkono, wanaowaamini na kuwapenda. Sijawahi kumsikia Magufuli akimtusi Lowasa wala Maalim Seif. Rais anafahamu kuwa ni mwendawazimu tu ndiye anayeweza kuwadharau viongozi hao.
Vizee viroho vya madaraka, vipiga dili vyenye uchu wa kuendelea kufuja raslimali za taifa. Mafisi ambao wapo tayari kuukana utu wao ili mradi utumbo wao ushibe!
Hawajawahi kujiuliza kwanini majina ya watu kama Gandhi, Mama Theresa, Mandela yanawndelea kusikika japo wenye majina hayo tulishawazika kitambo!
Haya Mafisi wawili hawajawahi kuangalia nyuma na kujiuliza siku wakifa watakumbukwa kwa jambo gani hasa!
Aibu yenu nyie vizee ambao kwenu mmewatengeneza wafuasi kama Membe, Mbowe, Zitto, nk.
Muda si mrefu nature itachukua nafasi yake and no body will ever remember your existance!
 
Hivi maalim Seif ana umri gani? Mimi nadhani alipofikia panamtosha... Sasa arudi kijijini kulea wajukuu... We mtu tangu mwaka sabini unautafuta urais hadi leo tu hujachoka? So far alipofikia kwenye umakam sio pabaya... By the way kipindi cha utawala wake hakukua na mabadiliko ya maana kwenye maisha ya Wazanziberi, hata akiupata huo urais wenyewe, hakutakuwa na cha maana atakachofanya zaidi ya kuiburudisha nafsi yake...
Sidhani kama kupigania haki Kuna ukomo wa umri? Mandela mnayemsifia alipata uraisi akiwa beyond 75years!
What maalim and lowassa stands for ndio siasa yenyewe, wao wanatoa opinions zao kuwa what ccm practices kwa sasa ni hovyo, so they offer kitu kingine Bora zaidi!
Huu si uhaini, n'a wala halazimishwi mtu, kama watakaoona hoja zao zinafaa wakiwa Wengi then watachaguliwa bila ya kujali umri wao, lkn hata kama hawaja maraisi Lakini Kuna kitu tangible wameshakifanya Tanzanie!
N'a Hili suala la kuwachoka watu kwa kuwa wamekuwepo miaka mingi n'a ufanisi wao kuwa chini, mbona hamlifanyi kwa chama chenu cha ccm ambacho kipo for ages bila ya manufaa ya kutosha kwa umma!
 
Hivi kweli Mods wetu mnaruhusu member wenu anawaita Maalim Seif na Lowassa mafisi?
We waache wawaite vile inavyowapendeza wao si unaona wao wenyewe wanavyotoleana bastola mbele ya hadhara na wengine wana likizo ya ..........sijui ya nini vile
 
Hivi matusi kuna upande yanakubalika nadhani ni Muda mwafaka kwamba kama upande mmoja hayatakiwi iwe kwa wote! Kwanza kutukana Watu wazima siyo busara hata kidgo!
 
Hivi matusi kuna upande yanakubalika nadhani ni Muda mwafaka kwamba kama upande mmoja hayatakiwi iwe kwa wote! Kwanza kutukana Watu wazima siyo busara hata kidgo!
 
Anamaanisha mkono wa Lowasa haunyooki. Wewe huoni?
Chizi Huyo Ufipa-Kinondoni , ,,,anajiona ye amekamilika,,,Hajui anaeweza akapata balaa ambalo litampa ulemavu au kasoro kubwa ktk maisha yote hadi akatamani kufa,,,,nna mshkaji wangu tulikuwa tunakamua wote mazoezi ya physically fit,alikuwa jeuri balaa ,,,basi uwezi amini amepata ajali amekatika mkono wote,,,sasaiv kawa mnyonge
 
Wote wamezeeka sasa waachane na siasa walee wajukuu
 
Tanzania bana kila mtu anajifanya bora mahalim amedanganywa nini sijui hivi wewe mahalim wewe ni muhislam safi sala tano lakini mbona umuwogopi mungu wako unakumbuka pale mwenbe yanga temeke Huyo mwezio mulimwita jina gani wallahi kila jambo LA kheri linatoka kwa mungu na kila jambo LA Shari linatokana na nafsi yako mfano huu ni kama mahalim kukosa uraisi visiwani na Hugo mweziwe kakosa uraisi bara wallahi m/mungu ni mkubwa
Walikosa urais au walikoseshwa urais??? Unafkiri uchaguzi ukiwa huru na haki CCM wangeshinda?? Yaani mtu anaporwa hali yake kwa dhulma alafu wwe wa kujifanya muislam swafi kuliko kina maalim ndio washabikia

Shame
 
Lowasa angekutana na stress za urais kuna uwezekano angekuwa kama Buhari wa Nigeria. Mwacheni apumuzike tu ale penseni zake za uwaziri mkuu. Inamtosha
 
Back
Top Bottom