Hii Picha Inaongea Mengi

Hii Picha Inaongea Mengi

Wengi humo wana sura za kifisadi. Yaani ni kama hawaamini jinsi mwenyekiti wao anavyabana access ya hela za kifisadi. Namba inasomeka tuu.
 
Yaani!! Wanatamani warudishe siku nyuma ila ndio vile tena. Na anavyoendelea kuomba tumuombee, yaani angejua ombi ninalomuombea hata asingesisitiza.

sitamani kufikiria ombi lako aliyeota ndoto tu yuko kisanga saa hizi
 
11.jpg
future haisomeki tena wanatamani hata wasiwe na cheo chochote tena
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom