Hii Picha Inaongea Mengi

Hii Picha Inaongea Mengi

11.jpg


Wanawaza kuona CCM wanayoijua imebadilika ghafulale, ni kiminyio kwa sana, Wa NEC 230 OUT!!
 
Hajajutia maaumizi yao... Inaonesha anachoongea Mkuu kinatoka moyoni na wao wanakielewa kabisa..
 
Hivi tot hawakuwepo kuimbisha nyimbo ingalau wachangamke kabla ya hotuba!!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom