Hii picha inanikumbusha mbali

Dereva anakowapeleka nyote mnamfuata huko huko [emoji23]
Hahaha dereva wa hiyo kamba anakata kona kokote atakako yeye na hata kamba ikikatika yeye ataendelea tu kuendesha na kujifanya haoni kama kamba imekatika.
 
Hahaha dereva wa hiyo kamba anakata kona kokote atakako yeye na hata kamaba ikikatika yeye ataendelea tu kuendesha na kujifanya haoni kama kamba imekatika.
Ndio hali halisi kwa sasa
 
Guys in JF sometimes ua so Great Thinkers and u can depict the reality of life via gastures,pics etc..so gud so funny msg delivered.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…