Hii picha inamaanisha

Kuna mtu hapo hua hajulikani anacheka au anatoa meno nje au amebanwa kupiga chafya.
 
Mzee baba, mkuu, mkuu Jiwe anaonekana anapiga tizi sana eitha la pushups au boxing maana kapinda kivile kama Mwakinyo au Matumla!
Atakuwa yuko fit sana kiafya!
Mwenyewe nimeona hilo, ni push up sana anaonesha
Kama sio sasa basi huko nyuma ndio ilikua michezo yake
 
Kikwete mrefu kuliko Hussein Mwinyi, Hussein Mwinyi Mrefu kuliko Magu na Magu mrefu kuliko mzee ruksaa
 
Watawala hao,mi na wewe ambao hatupo hapo watawaliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…