Hii picha inakufundisha nini?

Hao wazee au vijana wa walikulia/lelewa na usalama wa taifa. Ulikuwa mpango mzuri wa kuibua viongozi wa taifa.
 
nimeipenda sana hii gari zilizopo hapo ni toyota hardtop "mkonge" na civilian ...hakuna ma V8 hapo
 
183991_474313889280316_753524788_n.jpg

Pichani ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Mizengo Kayanza Peter Pinda (wa Kwanza Kushoto) akiwa pamoja na Mbunge wa Simanjiro, Bwana Christopher Ole Sendeka (Wa pili kushoto), Aliyekuwa Mkuu wa Mikoa Mbalimbali hapa Nchini, Bwana Ditopile Ukiwaona Mzuzuri (wa tatu kushoto) na wa mwanzo upande wa kulia ni Kijana wa Mjini William Vangimembe Lukuvi.

Picha hii ilipigwa Miaka ya 80 wakati huo Vijana hawa wakiwa ni Viongozi wa Jumuia ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi.

Mzuzuri amevaa saa mkono gani huo jamani? na Mizengo alikuwa hajanunua saa?
 
183991_474313889280316_753524788_n.jpg

Pichani ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Mizengo Kayanza Peter Pinda (wa Kwanza Kushoto) akiwa pamoja na Mbunge wa Simanjiro, Bwana Christopher Ole Sendeka (Wa pili kushoto), Aliyekuwa Mkuu wa Mikoa Mbalimbali hapa Nchini, Bwana Ditopile Ukiwaona Mzuzuri (wa tatu kushoto) na wa mwanzo upande wa kulia ni Kijana wa Mjini William Vangimembe Lukuvi.

Picha hii ilipigwa Miaka ya 80 wakati huo Vijana hawa wakiwa ni Viongozi wa Jumuia ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi.

Nandhani Lukuvi anatoa maelekezo fulani kwa mpiga picha ili wamuengue Pinda kwenye picha ile asionekane. Inaelekea anamwambia "Sogea kulia zaidi umpotezee huyu wa kwanza kushoto aionekane mtoto wa Baba huyu" Kumbe Pinda kasikia anaonekana kumshangaa akiwaza "Yaani huyu Lukuvi ananiteta hivi hivi nipo hapa hapa.
 
Pinda anajifanya tu. Bado anatuwakilisha walala hoi bin taaban. Huyu mzee kachukua tu cheo hawezi fanya lolote. Bado ana njaa sana. Kumbuka watu walitaka kufunika bakuli lake la msosi jamaa akalilia pale ukumbini.
Usifanye mchezo aise na marupurupu aise...
 
Hakika wakubwa nimecheka sana big up kwa aliye tuwekea picha hii.
Mie nimejifunza kwamba hawa jamaa wa magamba hakuna hata aliye msafi kwani huu uozo ndani ya chama chao umeanza tangu enzi ya ujamaa. aibu tupu kwa magamba.Naona hawa wote ni wanafiki hakuna mwenye dhamira safi ya kuwatumikia wananchi na kupambana na rushwa,
Na muona mzee wa domo kaya a.k.a TIKITI MAJI AU OLESENDEKA HANA CHOCHOTE NI UNAFIKI TU.
 
Wanaonekana wana nyuso za furaha, wako huru na wana amani kwa sababu ya Sera za Mwalimu Nyerere. Sasa hivi ukiwaona utadhani wako vitani kwa ajili ya Zigo liitwalo ccm ya mafisadi ambalo wanatakiwa walisimamie hata kama hawataki!!!.
 
183991_474313889280316_753524788_n.jpg

Pichani ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Mizengo Kayanza Peter Pinda (wa Kwanza Kushoto) akiwa pamoja na Mbunge wa Simanjiro, Bwana Christopher Ole Sendeka (Wa pili kushoto), Aliyekuwa Mkuu wa Mikoa Mbalimbali hapa Nchini, Bwana Ditopile Ukiwaona Mzuzuri (wa tatu kushoto) na wa mwanzo upande wa kulia ni Kijana wa Mjini William Vangimembe Lukuvi.

Picha hii ilipigwa Miaka ya 80 wakati huo Vijana hawa wakiwa ni Viongozi wa Jumuia ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi.
Inaonyesha kuwa hawa jamaa walikuwa choka choka choka mbayaaa,miguu imejaa kepu,halafu naona kama anasokota bangi hapo. haha
 
Namna gani CCM ilivyojijenga toka zamani mpaka wengine leo hawapo duniani na wengine ndio hivyo wakubwa.Kiukweli mvumilivu hula mbivu,waache wale jamani wametoka mbali sana.
 
Duh! Olesendeka kama panya vile misharubu yake,na mizengo kwa leo namstahi tu..............vibaka wakiwa vijana enzi zao.....
 
183991_474313889280316_753524788_n.jpg

Pichani ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Mizengo Kayanza Peter Pinda (wa Kwanza Kushoto) akiwa pamoja na Mbunge wa Simanjiro, Bwana Christopher Ole Sendeka (Wa pili kushoto), Aliyekuwa Mkuu wa Mikoa Mbalimbali hapa Nchini, Bwana Ditopile Ukiwaona Mzuzuri (wa tatu kushoto) na wa mwanzo upande wa kulia ni Kijana wa Mjini William Vangimembe Lukuvi.

Picha hii ilipigwa Miaka ya 80 wakati huo Vijana hawa wakiwa ni Viongozi wa Jumuia ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi.
acha kutudanganya hii picha haiwezi kuwa miaka ya 80 hizo gari nyuma yao ni toleo la miaka ya 1995 na kuendelea
 
Ole Sendeka profile yake ikoje? Ashawahi shika nafasi ya juu zaidi ya ubunge? Just curious! And I guess it could be one of the reasons he has turned into a hypocrite

Mimi naona kumuita Lukuvi kijana wa mjini wakati pana Ditopile pembeni yake maybe there's information you're withholding from us

And Pinda's ascent to the premier post makes me believe he was key in soliciting TISS support for JK during his presidential nomination campaign. It should be remembered that Pinda once worked with the TISS
 
Ukweli husemwa:

Fundisho kuu,

Hii ni siri mojawapo inayoonyesha sababu ya CCM kushindwa kupambana na ufisadi na rushwa. Wote natumaini wanatembea na hizi picha mifukoni mwao, na kila wakikutana wanasema "tumetoka mbali". Unaikumbuka hii picha tukiwa Umoja wa vijana enzi zile.

Kumbe kale ka msemo ka "hatukukutana barabarani" ndiyo maana yake hii.

Nani atamfunga kuku kengele?

Back
Top Bottom