Hii picha imenishtua sana!

Baroka zinasaidia sana kuna sema nimepishana na jamaa anayenidai na hakuweza kunitambua. Hata pneumonia ikiisha tutumie barakoa kujikinga na vumbi

🤣🤣🤣
 
Huyu Profesa alikuwa amevaa barakoa ili kujikinga na Corona lakini alipoenda kusalimiana na Rais ilibidi aivue!View attachment 1708101
Huyo sio Profesa ,ni msukuma mmoja Jaji Mstaafu Mihayo ambae haishangazi kumuabudu Jiwe kwani alimuokota jalalani!! Jiwe amempa vyeo vya kuwa kwenye TUME YA UCHAGUZI KAMA MJUMBE NA PIA AMEMPA UENYEKITI WA BODI YA UTALII !! Hivyo usishangae ukimuona mbele ya Jiwe huyo bwana ingawa ni sawa na baba yake lakini anaweza kumpigia magoti!!

Huyu Jaji mstaafu alipokuwa kazini huko nyuma aliwahi kusimamishwa ujaji na marehemu Jaji Mkuu Francis Nyalali kwa kuhusishwa na utovu wa nidhamu mahakamani[ RUSHWA}; kesi yake iliamuliwa na marehemu Jaji james Mwalusanya ambae ndie alimtoa kitanzini!!! Mtu mzima lakini ni mnafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…