Wanaume now wana vaa pensi zinazo onyesha mapaja pia ni mbayaUkweli usemwe tu , tamaduni za kiarabu za mwanamke kujisitiri ni bora sana , kwa kuheshimisha hadhi na utu wa mwanamke.
mafikirio yako yapo biasHuyu wa kushoto amekaribishwa na huyu wa kulia katika nchi yake bila shurti ya maelekezo ya kufuata utamaduni wake na itikadi yake na baada ya muda atafanya maandamano kushinikiza tamaduni yake ifatwe ingawa yupo ugenini na kwa bahati yake nzuri atasikilizwa.
ILA,
Huyu wa kulia akienda kwenye nchi ya ya huyu kwanza hawezi kukaribishwa akiwa yuko hivi lakini pia hata pata uhuru wa kuendeleza utamaduni na itikadi aliyoacha nyumbani na akifanya maandaamno kuimiza ifatwe tamaaduni yake anajua atakochafanywa🤣
View attachment 3403010
Kumbe?Wanaume now wana vaa pensi zinazo onyesha mapaja pia ni mbaya
Kuna ukweli wa kutosha sana.Wasiopenda ukweli watabadilisha ionekane unawaonea au umewaza tu kana kwamba hawajawahi kuona yakitokea.Kuukataa ukweli ambao unatokea kila iitwayo leo ni UNAFIKI na kuikana nafsi kwa bei rahisi.Huyu wa kushoto amekaribishwa na huyu wa kulia katika nchi yake bila shurti ya maelekezo ya kufuata utamaduni wake na itikadi yake na baada ya muda atafanya maandamano kushinikiza tamaduni yake ifatwe ingawa yupo ugenini na kwa bahati yake nzuri atasikilizwa.
ILA,
Huyu wa kulia akienda kwenye nchi ya ya huyu kwanza hawezi kukaribishwa akiwa yuko hivi lakini pia hata pata uhuru wa kuendeleza utamaduni na itikadi aliyoacha nyumbani na akifanya maandaamno kuimiza ifatwe tamaaduni yake anajua atakochafanywa🤣
View attachment 3403010
Uja waona mjini?Kumbe?
INDEEDKuna ukweli wa kutosha sana.Wadiopenda ukweli watabadikisha ionekane unawaonea au umewaza tu kana kwamba hawajawaji kuona yakitokea.Kuukataa ukweli ambao unatokea kila iitwayo leo ni UNAFIKI na kuikana nafsi kwa bei rahisi.
hapo ukiambiwa chagua mamaako katika hao utachagua yupi?Huyu wa kushoto amekaribishwa na huyu wa kulia katika nchi yake bila shurti ya maelekezo ya kufuata utamaduni wake na itikadi yake na baada ya muda atafanya maandamano kushinikiza tamaduni yake ifatwe ingawa yupo ugenini na kwa bahati yake nzuri atasikilizwa.