Hii picha ilipigwa Shinyanga nini kilinivutia?

njugilo

Member
Feb 8, 2010
58
26
Kipi kilinivutia kupata hii picha hapo Shinyanga ?
 

Attachments

  • SAM_0446.JPG
    SAM_0446.JPG
    133.8 KB · Views: 1,893
CCM imenyonywa wakina Mama sana

Kweli nimeamini kuna wa kina droooooobo wengi sana. Kwa hiyo umeona shinyanga mzima ni Mwana dada kubeba pipa akiwa kwenye baskel? Haya ni maendeleo kule nchi zilizoendelea ni kitu cha kawaida sana kufanya kazi lakini kwako umeshangaa kwa kuwa wewe kula kwa mama ndiyo sababu. Viroba hoyeee.
 
Back
Top Bottom