Hii pekee ipo Rwanda

Mungu mkubwa!amenikutanisha nawe ili hali naenda Mwezi ujao na nilijawa na hofu sana na maneno yako yamenipa hamasa na faraja!nitakutafuta unipe maelezo zaidi!Hongera kwa kuitangaza nchi ya Rwanda;Hongera kwa kuwaelezea vema majirani zetu!!
Wewe itabid useme alikiba n ndugu yako apo utabeba wote
 
Kwa takwimu za hivi karibuni nchi ya Rwanda ilikuwa na wakazi si zaidi ya mil 3.

Imagine Kigali ina idadi gani? Zinagtia Mwaka 2010 walikuwa laki 7 na ushee nchi nzima.

Its possible kwa pale mjini.

Aisee. Watu wake hawazaani?
Au ndio walipungua kwenye vita?
 
Ajabu guest niliyofikia kulikuwa na makahaba wengi jirani yake pamoja na kapub ila polisi wanawalinda kwa adabu na nidhamu kubwa.
kwa hiyo na wewe kwa akili zako fupi unaamini hao kina dada walikuwa ni makahaba kweli
makahaba = = = mashu****** malizia mwenyewe
 
Mkuu Karagwe sehemu gani?
 
I like t,I wish 1 day tanzania to b like Rwanda..
 
Kaka kwanin wanawafatilia sana watz kiasi icho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…