Hii niliikuta south africa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii niliikuta south africa

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by BIG X, Nov 12, 2011.

 1. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #1
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Niliingia duka moja kununua sandroz, bahati mbaya nilikuwa nimevaa viatu. katika harakati za kutaka kujaribisha nikavua viatu, nikazijaribisha zile sandroz nikiwa na soksi, nikawambia hizi ngozi yake ni ngumu sana itabidi mtu awe anazivaa na soksi. Pale dukani wakacheka sana wakasema utavaaje sandroz na soksi, wakasema "watu watakushangaa sana watajua unatoka Tanzania mana ndio wanaovaaga hivyo" mi niliposikia nilishangaa sana, sikuelewa kwanini walisema vile, Nilipowaambia mi natoka hukohuko wakasema basi kama ni hivyo hamna shida unaweza ukazivaa na soksi.

  Sasa hii ilinipa mtihani kutaka kujua ilikuajekuaje mpaka ijulikane kwamba watanzania ndio wanaovaaga hivyo!!! lakini nilikuwa na muda mfupi sikuweza kufanikiwa.

  Kama kuna mtu amekutana/anaelewa hili vizuri amwage hapa.
   
 2. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #2
  Nov 13, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  wabongo ndivyo tunavyovaa, hasa kipindi cha baridi. Nalog off
   
 3. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #3
  Nov 13, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hahahhh..... Nadhani wachaga ndio wanapenda kuvaa hivyo. Labda wamejaa sana huko.
   
 4. v

  valid statement JF-Expert Member

  #4
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 160
  una uhakika na unachokisema mkuu?
   
 5. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #5
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 1,078
  Trophy Points: 280
  Mimi sijawahi kuona hiyo kitu, labda Watz wanaoishi bondeni!
   
 6. m

  massai JF-Expert Member

  #6
  Nov 13, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  wachaga ni noma,kila pande ya dunia wapo,huwezi sikia mtu kutoka msoga au nanjilinje au kule kwa pinda,wachaga wapo shap sana,is type of person with non boundaris.mtabaki kuuza korosho pale chalinze.na umasai wangu alakini wachaga nouma
   
 7. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #7
  Nov 13, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Ndivyo tunavyovaa hasa kipindi cha baridi. Nalog off
   
 8. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #8
  Nov 14, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Naomba kujuzwa. Sandroz ni vazi gani? Au ndiyo sandals?
   
 9. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #9
  Nov 14, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Umeelewa mkuu...acha ligi
   
 10. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #10
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Sawa mtaalam wa English... si unajua wengine hatukusoma St. something, hongeleni mliosoma.... lakini hapo ilikuwa ni kiswahili. labda unikosoe tena na hicho kiswahili.
   
 11. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #11
  Nov 14, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Kama cape town wapo wengi sana...mitaa kama ya Long Street kuna baa wanazilimiki, Waterfront pia kuna wamachinga wa kichaga!
   
 12. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #12
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Maeneo ya Mobray, Rondebosh, Cralemont na Waybag watakuwepo kibao na biashara za pipi na biscuti.
   
 13. s

  shalis JF-Expert Member

  #13
  Nov 14, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 272
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa heshima yako badilisha sio wamachinga ni wafanyabiashara ..hiv nyie watu mtaacha lini roho za kuwasema wachaga vibaya au ndo mnawafagilia .lol
   
 14. Pezzonovante

  Pezzonovante JF-Expert Member

  #14
  Nov 14, 2011
  Joined: May 1, 2008
  Messages: 643
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Sandoz na soksi ni vazi la kitamaduni kwa wachaga
   
 15. mafiakisiwani

  mafiakisiwani JF-Expert Member

  #15
  Nov 14, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 456
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  big up wabongo wote mliopo nje.
   
 16. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #16
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  mapadre wazungu ndio huvaa hivyo
   
 17. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #17
  Nov 14, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  tax drivers, walinzi wa car parkings
   
 18. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #18
  Nov 14, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Kujua haya na kuchangia si lazima uwe unaishi nje, kwa hisani ya google.
   
 19. Ngadu

  Ngadu Senior Member

  #19
  Nov 14, 2011
  Joined: Oct 10, 2009
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ni sandals kwa kizungu, makobazi au malapa kwa kienyeji cha kiswahili
   
 20. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #20
  Nov 15, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 935
  Trophy Points: 280
  Wivu mbaya sana!
   
Loading...