Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Kipofu mmoja aliingia mgahawani
huku amevaa miwani mweusi.
Baada ya kukaa, kaka mmoja
mhudumu akaja kumsikiliza na
kusema "nikupe chakula gani au
niletee menu uchague mwenyewe?"
Yule kipofu akajibu "mimi sioni, ila
Lete kijiko alichotumia mteja wa
mwisho alafu ntaagiza kile
alichokula"
yule kaka akaleta kijiko, kipofu akakinusa "aaah wali wa nazi na
njegere,nipe". Siku ya pili akaja tena, kaka akamuuliza tena "nilete
Menu", kipofu "lete kijiko cha
mteja wa mwisho kabla yangu"
Akaleta kijiko, kipofu akakinusa
"aaah ndizi nyama, nipe" Siku ya tatu tena akaenda
mgahawani, yule kaka
akafuata " vipi mzee nilete kijiko
kama kawaida?", kipofu "ndio,
kama kawaida"
Basi yule kaka akamfuata mkewe jikoni akasema "Rose kuna jamaa
anajifanya anajua sana kunusa na
leo nataka nimchezee akili
yake,chukua hiki kijiko wewe
Kigusishegusishe katikati ya mapaja
yako". Yule mhudumu akampelekea
kijiko yule kipofu kama kawaida,
kipofu "aaah nilikuwa sijajua
kama Rose anafanya kazi hapa"....
huku amevaa miwani mweusi.
Baada ya kukaa, kaka mmoja
mhudumu akaja kumsikiliza na
kusema "nikupe chakula gani au
niletee menu uchague mwenyewe?"
Yule kipofu akajibu "mimi sioni, ila
Lete kijiko alichotumia mteja wa
mwisho alafu ntaagiza kile
alichokula"
yule kaka akaleta kijiko, kipofu akakinusa "aaah wali wa nazi na
njegere,nipe". Siku ya pili akaja tena, kaka akamuuliza tena "nilete
Menu", kipofu "lete kijiko cha
mteja wa mwisho kabla yangu"
Akaleta kijiko, kipofu akakinusa
"aaah ndizi nyama, nipe" Siku ya tatu tena akaenda
mgahawani, yule kaka
akafuata " vipi mzee nilete kijiko
kama kawaida?", kipofu "ndio,
kama kawaida"
Basi yule kaka akamfuata mkewe jikoni akasema "Rose kuna jamaa
anajifanya anajua sana kunusa na
leo nataka nimchezee akili
yake,chukua hiki kijiko wewe
Kigusishegusishe katikati ya mapaja
yako". Yule mhudumu akampelekea
kijiko yule kipofu kama kawaida,
kipofu "aaah nilikuwa sijajua
kama Rose anafanya kazi hapa"....