Willy T
JF-Expert Member
- Mar 21, 2016
- 253
- 91
Habari ya wakati huu wanajamvi, natumahi musalama kabisa.
Jamani Hii nchi inahitaji zaidi ya mapinduzi
Majipu makubwa yako kwenye mabasi ya abiria jijini dar es salam maana mabasi yanakatisha safari(route) mda ya jioni na pia wanapark magari wakisubiri kisa kiingie kweli?
Alafu wakifukuzwa kazi wanaanza kulia, hapa ndipo ninapopata uhakika kwanini watanzania wengi hawaajiriwi kwenye mashirika ya kimataifa
Mfano wa mabasi ya makumbusho -bunju hayapatikani kuanzia SAA 1 , mabasi ya kawe nayo husubiri muda sana baada ya basi lingine kumaliza kupakia,
Je??? Hii ndio Tanzania ya kutaka watu wawajibike?
Mengine ni magari ya makumbusho- s/2000 via chuo k/kuu yaani wanakera aaaah unachelewa kabisa unakokwenda ndugu.