majany
JF-Expert Member
- Sep 30, 2008
- 1,223
- 586
Jamaa flani alikuwa na tatizo
akaenda hospitalini kumuona
Daktari:
Jamaa: "Dokta nina tatizo huku
sirini."
Daktari : "Hebu vua nguo tuone."
Jamaa: "Sawa navua ila naomba
usicheke, pliz dokta usicheke."
Daktari: "Usijali mimi hii ndo kazi
yangu, siwezi kumcheka mgonjwa."
Jamaa akavua suruali kuonesha
nanihiiX_X yake...dokta kuona
ustaarabu ukamshinda akaanza
kucheka na akacheka kama dk 5
hadi machozi yakamtoka..sababu
nanihii ya jamaa ni kadogo kama
betri Ya AAA.
Daktari alipomaliza kucheka
mazungumzo yakaendelea..
Daktari : "Enhee Tatizo ni nini???"
Jamaa: "IMEVIMBAA toka juzi.!!"
Daktari Akazimia pale pale.
akaenda hospitalini kumuona
Daktari:
Jamaa: "Dokta nina tatizo huku
sirini."
Daktari : "Hebu vua nguo tuone."
Jamaa: "Sawa navua ila naomba
usicheke, pliz dokta usicheke."
Daktari: "Usijali mimi hii ndo kazi
yangu, siwezi kumcheka mgonjwa."
Jamaa akavua suruali kuonesha
nanihiiX_X yake...dokta kuona
ustaarabu ukamshinda akaanza
kucheka na akacheka kama dk 5
hadi machozi yakamtoka..sababu
nanihii ya jamaa ni kadogo kama
betri Ya AAA.
Daktari alipomaliza kucheka
mazungumzo yakaendelea..
Daktari : "Enhee Tatizo ni nini???"
Jamaa: "IMEVIMBAA toka juzi.!!"
Daktari Akazimia pale pale.