Hii ni zaidi ya genius

wengune husafirisha hata watoto maiti waliotumbuliwa utumbo na kuwekwa kete
 
Huyu alilewa :bange: akadhani kila mtu Ana akili kama yake,...... kumbe wengine wamelewa gambe, wakisikia tu harufu ya bangi mashetani yanatibuka
Hahhahahaaaa katumia akili ila kakosa maarifa
 
Duu huyu mjasilia akili ana A ya udanganyika, angechukua parfume make kuna watu wana uwezo wa kunusa harufu ya jani umbali wa hata km moja hvi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…