Hii ni zaid ya Dream

Black BackUp

JF-Expert Member
Aug 5, 2019
685
622
Habari
hii ndoto imenitisha kidogo
usiku kuamkia Leo nimeota nimeua/nimekill jamaa ukimtizama ni ana bonge la bodi yaan mwili mkubwa then nikamkata kidole gumba nikakifukia mahali alafu mwili nikaufungia kwenye kwenye chumba flani kirefu..... Baada kama siku kadhaa mtaani hapakaliki harufu cha ajabu sikumwambia mtu yeyote lakin polisi walipofika watu wakawaambia kwamba mimi ndo nimeua...
hii ndoto imekaaje wazee au Just a dream!
 
Unatengenezewa kesi ya mauaji mkuu! Kwa imani yako ifute au itengue vinginevyo hukumu ya mauaji inakuhusu uwe umeua kweli au umesingiziwa! Majanga yoote yanayowapata watu yanatengenezwa na washirikina. Hapo Mungu anakuonyesha ili uchukue taadhari. Ungekuwa mlokole hapo tumia Damu ya Yesu kufuta na kutengua
 
Habari
hii ndoto imenitisha kidogo
usiku kuamkia Leo nimeota nimeua/nimekill jamaa ukimtizama ni ana bonge la bodi yaan mwili mkubwa then nikamkata kidole gumba nikakifukia mahali alafu mwili nikaufungia kwenye kwenye chumba flani kirefu..... Baada kama siku kadhaa mtaani hapakaliki harufu cha ajabu sikumwambia mtu yeyote lakin polisi walipofika watu wakawaambia kwamba mimi ndo nimeua...
hii ndoto imekaaje wazee au Just a dream!
Yawezekana unajishughulisha na jambo lisilo zuri mathalani ushirikina na hiyo ni ishara kwamba kwa kufanya hivyo unasababisha madhara bila kujua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom