Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,712
- 63,399
Mambo ya Iran yamekujaje tena kwenye huu uzi?Laylatul~Qadir
Karibu sana, we ni mtu muhimu sana ingawa hujajijua umuhimu wakoNgoja waje
Kimulimuli cha nini tena?
Niambie umuhimu wangu nini?Karibu sana, we ni mtu muhimu sana ingawa hujajijua umuhimu wako
Jamii haiwezi kuishi bila weweNiambie umuhimu wangu nini?
So kweli..Jamii haiwezi kuishi bila wewe
Mmojawapo ni mimi, siku ikipita bila kukuona mwili wote unakufa ganziSo kweli..
Sema neno mkuu
Hatukaribishani mkuu?Subiri tupate futar na daku mkuu.
Naaam toa location wafike kula nyama na brutalSema neno mkuu
Tumieni hizi mvua zinazonyesha kwa kulima mahindi, ili kupunguza malalamiko ya unga kupanda bei siku za mbeleni.
Tumieni hizi mvua zinazonyesha kwa kulima mahindi, ili kupunguza malalamiko ya unga kupanda bei siku za mbeleni.
Ni kama swala anavyoishi porini huku akiogopa kuliwa na simbaNaaam toa __cpLocation wafike kula nyama na brutal