Hii ni vita dhidi ya Mateja au Wauza madawa ya kulevya?

Seif al Islam

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
2,156
638
Kila kukicha hali ya upepo na mapambano inabadilika toka "kujihusisha na madawa ya kulevya" hadi kutumia madawa ya kulevya.
Nadhan ni muhimu sasa tujue kama vita hii ni dhidi ya watumiaji (mateja) au wauzaji wa madawa ya kulevya.
 
Haikuwa vita bali kutafuta umaarufu tu aonekane yeye ni zaidi ya mawaziri. Sasa yamemgeukia.
 
Back
Top Bottom