Hii ni tindikali au uzee?

Hii ni tindikali au uzee?

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,037
Reaction score
168,676
Naombeni jibu jamani.

1234208_728906360468280_1519330004_n.jpg
 
kwa mtazamo wangu naona ni tindikali.
japo sina tafsiri kamili ya tindikali kwa lugha inayoweza kuelezea kilichotokea kwenye seli za huyu mtu.

Free radical zimefanya kazi yake ku-oxidize.

tindikali ni oxidants kwa chemical property so kwa mtazamo huo..hiyo ni tindikali iliyojitengeneza kwenye mwili.
 
uameamua kujionesha sura tukuone ulivyo
unamuiga Mtambuzi alivyokuwa kigali nini?
haya uza sura bestito
Yaani unataka kusema nimefanana na ngambili?
hebu ladyfurahia niombe msamaha fasta, kabla sijawaeleza watu mambo yako uliyoyafanya kwenye fiesta ya Kigoma
(Nakutania mwayego)
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom