Hii ni Tape Water

Mourinho

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2012
Posts
4,619
Reaction score
2,328
a.k.a maji ya bomba, "Tanzania zaidi ya uijuavyo"
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1361457984.516097.jpg
    65.3 KB · Views: 243
  • ImageUploadedByJamiiForums1361458051.489072.jpg
    70.4 KB · Views: 167
Da! Enzi za Mwalimu wakati tunasoma vyuoni, maziwa ilikuwa una-press tu kwenye dispenser. Unakunywa tani yako.
Hii huenda ni chai kwenye dispenser.
 
Da! Enzi za Mwalimu wakati tunasoma vyuoni, maziwa ilikuwa una-press tu kwenye dispenser. Unakunywa tani yako.
Hii huenda ni chai kwenye dispenser.

Mkuu chai wapi? Huoni sink hilo? Ni maji yanatoka bombani hayo
 
Duh... .ni wapi hayo maji?utafikiri kwetu hapa Mali Sikh yakitoka.
 
Poleni...si bora kukosa au ndo danganya toto
 
nilimuona Maghembe akitokwa na povu jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…