Mourinho JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 4,619 Reaction score 2,328 Feb 21, 2013 #1 a.k.a maji ya bomba, "Tanzania zaidi ya uijuavyo" Attachments ImageUploadedByJamiiForums1361457984.516097.jpg 65.3 KB · Views: 243 ImageUploadedByJamiiForums1361458051.489072.jpg 70.4 KB · Views: 167
M Mkeshaji JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 4,258 Reaction score 1,418 Feb 21, 2013 #2 Da! Enzi za Mwalimu wakati tunasoma vyuoni, maziwa ilikuwa una-press tu kwenye dispenser. Unakunywa tani yako. Hii huenda ni chai kwenye dispenser.
Da! Enzi za Mwalimu wakati tunasoma vyuoni, maziwa ilikuwa una-press tu kwenye dispenser. Unakunywa tani yako. Hii huenda ni chai kwenye dispenser.
Mourinho JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 4,619 Reaction score 2,328 Feb 21, 2013 Thread starter #3 Mkeshaji said: Da! Enzi za Mwalimu wakati tunasoma vyuoni, maziwa ilikuwa una-press tu kwenye dispenser. Unakunywa tani yako. Hii huenda ni chai kwenye dispenser. Click to expand... Mkuu chai wapi? Huoni sink hilo? Ni maji yanatoka bombani hayo
Mkeshaji said: Da! Enzi za Mwalimu wakati tunasoma vyuoni, maziwa ilikuwa una-press tu kwenye dispenser. Unakunywa tani yako. Hii huenda ni chai kwenye dispenser. Click to expand... Mkuu chai wapi? Huoni sink hilo? Ni maji yanatoka bombani hayo
M Mkeshaji JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 4,258 Reaction score 1,418 Feb 21, 2013 #4 Mourinho said: Mkuu chai wapi? Huoni sink hilo? Ni maji yanatoka bombani hayo Click to expand... Ni makosa ya watu wa treatment. Huenda wamekosa chlorine ndo maana yanakuja hivyo.
Mourinho said: Mkuu chai wapi? Huoni sink hilo? Ni maji yanatoka bombani hayo Click to expand... Ni makosa ya watu wa treatment. Huenda wamekosa chlorine ndo maana yanakuja hivyo.
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,985 Feb 21, 2013 #5 Kama coca cola aisee
Kibwebwe JF-Expert Member Joined Jun 26, 2012 Posts 826 Reaction score 266 Feb 21, 2013 #6 kimbembe hicho
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Feb 21, 2013 #7 Duh... .ni wapi hayo maji?utafikiri kwetu hapa Mali Sikh yakitoka.
Mourinho JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 4,619 Reaction score 2,328 Feb 21, 2013 Thread starter #8 kabanga said: Duh... .ni wapi hayo maji?utafikiri kwetu hapa Mali Sikh yakitoka. Click to expand... Mji kasoro Mkuu
kabanga said: Duh... .ni wapi hayo maji?utafikiri kwetu hapa Mali Sikh yakitoka. Click to expand... Mji kasoro Mkuu
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 Feb 21, 2013 #9 Poleni...si bora kukosa au ndo danganya toto
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Feb 22, 2013 #10 nilimuona Maghembe akitokwa na povu jana
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Feb 22, 2013 #11 Mourinho said: Mji kasoro Mkuu Click to expand... Kaka kila nikifika huko nakuwa na maji yangu ya kusafishia kinywa asubuhi...
Mourinho said: Mji kasoro Mkuu Click to expand... Kaka kila nikifika huko nakuwa na maji yangu ya kusafishia kinywa asubuhi...