Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,047
- 23,418
Mkuu unaelewa kwamba deconcentration ya sulfiric acid ni maji?Nilimkomesha baba mwenye Nyumba alikuwa anapigia mswaki dirishani kwangu na kutema makohozi.nikanunua bomba la sindano nikaweka Maji ya betri kidogo,alipoweka jagi la Maji chini kupitia dirishani nikakamulia Yale Maji ya betri,kilichompata anajua hakurudia tena na Mimi nimehama nyumba,nyambafff.
Acid kiwango kidogo cha kujaza bomba la sindano, ukimiminia kwenye jagi la maji, haiwezi kuunguza wala kusababisha madhara yoyote kwa chochote.
Sanasana yalibadilika ladha na kuwa na ukakasi.
Tena hapo ulimtengenezea dawa ya kutibu meno kama aliyasukutulia.
Acid ni dawa mbadala ya meno, ukilenga sehemu iliyoathirika kwa kuchovya pamba kwenye acid na kukandamiza sehemu hiyo.
Hakikisha unatematema mate yote yanayoflow kwa kasi ukiisha weka tu pamba.