Hii ni tabia mbaya sana khaa!

Hii ni tabia mbaya sana khaa!

Hata huko mashambani ni balaa, asikwambie mtu.

Siku moja nilitembelea mkoa, babu yangu amepanda miembe shambani kwake na mimi ninapenda sana hayo matunda.

Kipindi hicho ndiyo ulikuwa msimu wake na mchana nikawa nimepanda mwembeni bila kelele nikila matunda kimyakinya kwa utulivu mkubwa, bila kelele wala sauti.

Baadaye kidogo nikasikia sauti ya baiskeli, kisha mtu akapaki akaja moja kwa moja kujibanza na kuchuchumaa kwenye shina la mti niliopanda bila ya kuangalia juu, kisha akafungua mkanda na kuanza kujisaidia haja kubwa!

Kitendo hicho kilinikera na kuniharibia 'mood' kwa sababu alikuwa akinyea sehemu niliyopandia.
Lakini pia alinivuta hisia za cheko zangu kwa jinsi madoido yake aliyokuwa akiyafanya wakati wa tendo hilo.
Alianza kwa kukenua meno na kutoa sauti yenye kujirudiarudia...' Enhnhenhenhenhenheneeeee' huku katoa jicho mkoma, katepesha midomo na kushindwa kujikontroo.
Tendo hilo likanifanya nicheke kwa kujibana!
Lahaula! Huyo mzee akashituka, kama mtu anayekatishwa usingizini ghafla!
Akavuta suruali juu bila ya kuchamba na kuanza kuangalia juu huku akijifunga mkanda na aliponiona akanitambua na kuanza kuniporomishea matusi.
Aliendeleaa kulalamika na kutoa lawama nzito kwamba kwanini nilimwacha ajisaidie bila hata kumshitua kwa kujikohoza?
Mashitaka hayo aliyapeleka hadi kwa babu kunikandamiza kuwa mimi ni mtovu wa nidhamu niliyekubuhu.
Wakati yeye kosa lake la uchafuzi wa mazingira kwenye shamba la mtu kaliweka pembeni!

Kesi ile babu yangu aliimaliza kiutu uzima.
Uone kwamba hakuna mahali panapoishi binadamu pakakosa vituko. Iwe mjini ama vijijini, pote ni vurugu tupu.
Kama nakuona vile unafaidi embe pamoja na kideo cha bure[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hawa itakuwa ni wale watu wenye tabia ya kusafisha ulimi wakati wanapiga mswaki,sasa inapotokea mswaki umeelekea kooni hali ya kutapika inamjia kwahiyo lazima utamsikia anafanya kitu kama kuvuta makohozi,hata mimi hii tabia huwa siipendi sana...
Huwezi brush vizuri bila kusafisha ulimi.

Ila hizo kelele daaah.
 
kama mimi tu, tuvumiliane tu nikatika moja na mbili yakuweka kinywa changu swaafi tuvumiliane mkuu
 
Uje without kabisaaa
mkuu Aspirin yule madame wako atakuwa anakufuatilia inch by inch,hizi sentensi zako zinafanana na kale kamchezo ka kurusha punje moja moja ya mhindi dhidi ya kuku huku ukielekea kichakani...
 
Hahahaha... mida hii kalala. Mpk aamke nakuwa nshafanya yangu kisirisiri
 
Leo kuna sehemu nimeamkia,yaani kuna jirani nyumba ya pili anasafisha kinywa kama anataka kufa,hayo makohozi anavyoyavuta na kujikoholesha,utadhani alikula kinyesi,yaani mtu mmoja anasafisha kinywa ila makelele yake ni kero hadi huku kwa jirani,namuuliza mwenyeji wangu anasema washamzoea,ningekuwa naishi hapa wallah ningemfuata huyu jamaa,yaani amenichefua sana asubuhi hii,huko pande zenu vipi,hamkutani na kadhia hizi?
Huu ni uswahili uliopitiliza,utadhani amejifunzia ukubwani kusafisha kinywa daah!

Hapa jirani yangu nafikiri yuko mwezini, maana kahamka kaanza kufua chupi ila katikati zina kama damudamu hivi....na anafua huku akiziangalia pale katikati kama zimetakata.
 
Hata huko mashambani ni balaa, asikwambie mtu.

Siku moja nilitembelea mkoa, babu yangu amepanda miembe shambani kwake na mimi ninapenda sana hayo matunda.

Kipindi hicho ndiyo ulikuwa msimu wake na mchana nikawa nimepanda mwembeni bila kelele nikila matunda kimyakinya kwa utulivu mkubwa, bila kelele wala sauti.

Baadaye kidogo nikasikia sauti ya baiskeli, kisha mtu akapaki akaja moja kwa moja kujibanza na kuchuchumaa kwenye shina la mti niliopanda bila ya kuangalia juu, kisha akafungua mkanda na kuanza kujisaidia haja kubwa!

Kitendo hicho kilinikera na kuniharibia 'mood' kwa sababu alikuwa akinyea sehemu niliyopandia.
Lakini pia alinivuta hisia za cheko zangu kwa jinsi madoido yake aliyokuwa akiyafanya wakati wa tendo hilo.
Alianza kwa kukenua meno na kutoa sauti yenye kujirudiarudia...' Enhnhenhenhenhenheneeeee' huku katoa jicho mkoma, katepesha midomo na kushindwa kujikontroo.
Tendo hilo likanifanya nicheke kwa kujibana!
Lahaula! Huyo mzee akashituka, kama mtu anayekatishwa usingizini ghafla!
Akavuta suruali juu bila ya kuchamba na kuanza kuangalia juu huku akijifunga mkanda na aliponiona akanitambua na kuanza kuniporomishea matusi.
Aliendeleaa kulalamika na kutoa lawama nzito kwamba kwanini nilimwacha ajisaidie bila hata kumshitua kwa kujikohoza?
Mashitaka hayo aliyapeleka hadi kwa babu kunikandamiza kuwa mimi ni mtovu wa nidhamu niliyekubuhu.
Wakati yeye kosa lake la uchafuzi wa mazingira kwenye shamba la mtu kaliweka pembeni!

Kesi ile babu yangu aliimaliza kiutu uzima.
Uone kwamba hakuna mahali panapoishi binadamu pakakosa vituko. Iwe mjini ama vijijini, pote ni vurugu tupu.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] umenichekesha sana
 
Nilimkomesha baba mwenye Nyumba alikuwa anapigia mswaki dirishani kwangu na kutema makohozi.nikanunua bomba la sindano nikaweka Maji ya betri kidogo,alipoweka jagi la Maji chini kupitia dirishani nikakamulia Yale Maji ya betri,kilichompata anajua hakurudia tena na Mimi nimehama nyumba,nyambafff.
 
Hata huko mashambani ni balaa, asikwambie mtu.

Siku moja nilitembelea mkoa, babu yangu amepanda miembe shambani kwake na mimi ninapenda sana hayo matunda.

Kipindi hicho ndiyo ulikuwa msimu wake na mchana nikawa nimepanda mwembeni bila kelele nikila matunda kimyakinya kwa utulivu mkubwa, bila kelele wala sauti.

Baadaye kidogo nikasikia sauti ya baiskeli, kisha mtu akapaki akaja moja kwa moja kujibanza na kuchuchumaa kwenye shina la mti niliopanda bila ya kuangalia juu, kisha akafungua mkanda na kuanza kujisaidia haja kubwa!

Kitendo hicho kilinikera na kuniharibia 'mood' kwa sababu alikuwa akinyea sehemu niliyopandia.
Lakini pia alinivuta hisia za cheko zangu kwa jinsi madoido yake aliyokuwa akiyafanya wakati wa tendo hilo.
Alianza kwa kukenua meno na kutoa sauti yenye kujirudiarudia...' Enhnhenhenhenhenheneeeee' huku katoa jicho mkoma, katepesha midomo na kushindwa kujikontroo.
Tendo hilo likanifanya nicheke kwa kujibana!
Lahaula! Huyo mzee akashituka, kama mtu anayekatishwa usingizini ghafla!
Akavuta suruali juu bila ya kuchamba na kuanza kuangalia juu huku akijifunga mkanda na aliponiona akanitambua na kuanza kuniporomishea matusi.
Aliendeleaa kulalamika na kutoa lawama nzito kwamba kwanini nilimwacha ajisaidie bila hata kumshitua kwa kujikohoza?
Mashitaka hayo aliyapeleka hadi kwa babu kunikandamiza kuwa mimi ni mtovu wa nidhamu niliyekubuhu.
Wakati yeye kosa lake la uchafuzi wa mazingira kwenye shamba la mtu kaliweka pembeni!

Kesi ile babu yangu aliimaliza kiutu uzima.
Uone kwamba hakuna mahali panapoishi binadamu pakakosa vituko. Iwe mjini ama vijijini, pote ni vurugu tupu.
Daaah nmechekaa hataree mpaka machozii hii sinema ilkua tamu sanaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom