3 36must Member Joined Sep 17, 2022 Posts 56 Reaction score 107 Oct 6, 2026 #1 Game ya UEFA baina ya France vs Belgium, coach wa France Zinedine Zidane amefanya super subs ya kibabe kabisa, baada ya kuwa nyuma kwa goal moja kwa bila, hadi alipofanya mabadiliko kwenye dakika ya 62, akaiua match kabisa. Attachments IMG-20261006-WA1652.jpg 402.7 KB · Views: 6
Game ya UEFA baina ya France vs Belgium, coach wa France Zinedine Zidane amefanya super subs ya kibabe kabisa, baada ya kuwa nyuma kwa goal moja kwa bila, hadi alipofanya mabadiliko kwenye dakika ya 62, akaiua match kabisa.
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 53,900 Reaction score 131,246 Oct 6, 2026 #2 Inasikitisha sana
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 53,900 Reaction score 131,246 Oct 6, 2026 #3 Liverscore kwangu haifunguki, n wote ama?
mwaibile JF-Expert Member Joined Nov 16, 2022 Posts 2,110 Reaction score 5,094 Oct 6, 2026 #4 The legend
A Aleyn JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 24,090 Reaction score 42,752 Oct 6, 2026 #5 Mbaga Jr said: Liverscore kwangu haifunguki, n wote ama? Click to expand... Nadhani kuna hiyo changamoto. Hata kwangu pia ni siku kadhaa sasa.
Mbaga Jr said: Liverscore kwangu haifunguki, n wote ama? Click to expand... Nadhani kuna hiyo changamoto. Hata kwangu pia ni siku kadhaa sasa.