Hii ni suicide mission

Hizi ni shot za kuuana, ukiwa mlafi hapo lazima ufe.

Hapo Walafi hawatakiwi kabisa, watakufa. Ila kibongo bongo ukiandaa kitu kama hicho utaua wengi, ni vigumu kumgundua mlafi na asiye mlafi
 
Kama tequila??
One short tequila...
 
Hapo Walafi hawatakiwi kabisa, watakufa. Ila kibongo bongo ukiandaa kitu kama hicho utaua wengi, ni vigumu kumgundua mlafi na asiye mlafi

Kwa hesabu ya haraka hizo shot ziko kama 100 hivi, na pembeni kuna chupa, halafu naona wameanzia na bia kwenye glasi ndefu. sasa sijui hawa jamaa wana lengo gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…