Hii ni Standi ya Mtwara?

Hii ni Standi ya Mtwara?

Jambazi

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
16,654
Reaction score
18,805
14731317_1788390164783654_1551467190153179453_n.jpg
 
Ulipotelea wapi? Hapa nna RB na search warrant ilikua nianze kupekua kituo kimoja hadi kingine kukutafuta. Tulikosa sana mambo ya mahanjumat .

Huyu Jambazi anataka kutuibia, Mtwara ya wapi hii? Kuna mabasi ya ghorofa? Dar mwenyewe sijayaona. Naona kuna ujumbe anatufikishia, hata yeye ameweka alama ya kiulizo kwenye heading yake.
 
Hahahahah nipo sijapotea pirika tu ndugu yako vipi hali yako lakini?
 
Panaonekan ni kituo cha mwisho cha daladala za kizungu (commuter buses), hugeuzia hapo baadae hurudi zilikotoka. Hayo mabasi ya ghorofa moja Tanzania bado hayajafika, na dizaini ya nyasi kama hizo zinazoonekana kwa bongo hatujafikia kiwango cha kuziweka barabarani, zipo kwenye majengo ya watu binafsi na mahotel tu
 
Owh sihaba umepita michenzani kunywa juice ya muwa Na pweza wa kukaanga lol

Dah! Siku hizi wasafi hatari wanavaa kitanashati mazingira yameboreshwa...pale tu ndio sehem pekee nakula pweza na kunywa juice safi ya miwa....
 
Panaonekan ni kituo cha mwisho cha daladala za kizungu (commuter buses), hugeuzia hapo baadae hurudi zilikotoka. Hayo mabasi ya ghorofa moja Tanzania bado hayajafika, na dizaini ya nyasi kama hizo zinazoonekana kwa bongo hatujafikia kiwango cha kuziweka barabarani, zipo kwenye majengo ya watu binafsi na mahotel tu
Mabasi ya ghorofa (city commuters)tulikuwa nayo (DMT), lakini yaliishia miaka ya 65 - 70 hivi. Ilichukua muda kupata mabasi mengine mazuri hadi pale tulipopata Ikarus (1975). Tulikuwa mbali sanaa, ila tumerudi nyuma sanaaaaaaaaaa.
 
Hichi ni kituo cha bus cha derby, kilianza kutumiaka mwaka 1933, kilikuwa ni kituo cha aina yake duniani, kilibomolewa mwaka 2006 na kujengwa upya, kituo kipya kimefunguliwa mwaka 2010.

kituo kipya cha Derby.

maxresdefault.jpg

derby-bus-station-in-derbyshire-england-uk-part-of-the-new-riverlights-c1jnat.jpg

derby_new(1).jpg
 
Back
Top Bottom