mjumbe wa bwana
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 5,290
- 6,194
hahahaaaaa yani mtwara mliacha gesi ikabebwa mkaachwa walinzi wa visima mtegemee stend kama hio itakaa ije huko
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mtwara ya U.K
Usiseme hivyo mkuu..hahahaaaaa yani mtwara mliacha gesi ikabebwa mkaachwa walinzi wa visima mtegemee stend kama hio itakaa ije huko
dah ila sema mlikuwa hajuna umoja ndo maana mlizidiwa nguvuUsiseme hivyo mkuu..
Tulipambana tukashindwa...
Risasi, Mabomu na Virungu vinauma sana!!!